Tuesday, April 9, 2019

BUNGENI LEO 09.04.2019 DODOM

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Angela Kairuki, akiongea Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. 
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu (kushoto), Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019 katikati ni Mbunge wa Viti Maalum Salma Kikwete.

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akiongea Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.