Wednesday, April 17, 2019

WAZIRI MKUU ASHIRIKI KWENYE MSIBA WA MTOTO WA MTUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima ya mwisho kwa mtoto wa Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Cheka Kaviga, baada ya kufiwa na mtoto wake Samson Cheka,katika kanisa la Mchungaji Mwema Ipagala jijini Dodoma Aprili 17, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Cheka Kaviga, baada ya kufiwa na mtoto wake Samson Cheka,katika kanisa la Mchungaji Mwema Ipagala jijini Dodoma Aprili 17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima ya mwisho kwa mtoto wa Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Cheka Kaviga, baada ya kufiwa na mtoto wake Samson Cheka,katika kanisa la Mchungaji Mwema Ipagala jijini Dodoma Aprili 17, 2019. 

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.