Monday, January 22, 2018

BALOZI WA UFILIPINO AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU (SERA NA URATIBU) KUHUSU MASUALA YA MAAFA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Philippine Uriel Norman R. Garibay baada ya mazungumzo mafupi ofisini kwake tarehe 22 Januari, 2018 Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akimsikiliza kwa makini Balozi wa Philippine Ariel Norman R. Garibay akisisitiza jambo kuhusu masuala ya maafa walipokutana ofisini kwake tarehe 22 Januari, 2018. 
EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.