Sunday, January 21, 2018

MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikata utepe kuzindua mabweni mawili ya Magufuli na Majaliwa katika Shule ya Sekondari ya Bumagi wilayani Butiama Januari 20, 2018.  Watatu kulia ni mkewe Mary.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mbuge wa Butiama, Nimrod Mkono cheti cha shukurani kilichotolewa na wilaya ya Butiama ili kuthamini mchango wake mkubwa wa kujenga na kuchangia maendeleo ya elimu wilayani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Julius Kambarage Nyerere  kilichojengwa na mbunge huyo kikiwa na sekondari na kutokana na ubora wake kilibadilishwa kuwa Chuo Kikuu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa  Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhungo katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye kijiji cha Muragi Januari 21, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi na viongozi wa mkoa wa Mara katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya siku saba mkoani humo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkoa wa Mara mjini Msoma Januari 21, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi na viongozi wa mkoa wa Mara katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya siku saba mkoani humo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkoa wa Mara mjini Msoma Januari 21, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella  kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza alikopitia akitoka Musoma kwenda Dar es salaam Januari 21, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.