Thursday, August 3, 2017

SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA (UNICEF) KUBORESHA MASUALA YA WATOTO HAPA NCHINI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira  na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi UNICEF Tanzania Bi. Maniza Zaman kuzungumzia uboreshaji wa huduma za watoto nchini ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 3, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa UNICEF Tanzania Bi. Maniza Zaman ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi UNICEF Tanzania Bi. Maniza Zaman baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Agosti 3, 2017.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.