Sunday, August 20, 2017

WAZIRI MKUU AWATAKA WATANZANIA KUIMARISHA UZALENDO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa . katikati akiongea na wanafunzi wanao somea fani ya Udaktari nchini Cuba , katika Hotel ya Nacional de Cuba .jana August 20/2017 kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi Cuba,Bwana Goodchance Tarimo,  kulia ni Ofisa wa  Ubalozi wa Tanzania Nnchini Canada na Cuba.Bwana Leonce Bilauri

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa .kulia akisalimiana na Eshe Hemed Rashid Mwanafunzi wa  Kitanzania anaye Soma fani ya Udaktari  Nnchini Cuba .katikakati ni Nasra Sheikhan. Waziri Mkuu alikutana na wanafunzi wa Kitanzania wanao soma Udakatari Cuba. katika Hoteli ya Nacional de Cuba .Jana August 20/2017

Waiziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi Wakitanzania wanao somea fani ya Udaktari Nchi Cuba .Waziri Mkuu yupo Havana Cuba kwa Ziara ya Kikazi


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.