Wednesday, August 9, 2017

VIJANA WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO CHANYA NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo wakati akieleza Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani mwaka huu 2017, yatakayofanyika tarehe 12 Agosti, Mkoani Dodoma. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “USHIRIKI NA USHIRIKISHWAJI WA VIJANA KATIKA KUDUMISHA AMANI”.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo wakati akieleza Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani mwaka huu 2017, yatakayofanyika terehe 12 Agosti, Mkoani Dodoma.


Baadhi ya  waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama(hayupo pichani) wakati wa mkutano na waandishi hao wakueleza Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani mwaka huu 2017, yatakayofanyika terehe 12 Agosti, Mkoani Dodoma.



EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.