Wednesday, August 9, 2017

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA WA MAGARI KUTOKA FOTON KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI ZA MAENDELEO NCHIN

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Funguo ya Magari matatu  yenye thamani ya Dola za kimarekani 99,700 ambayo amekabidhiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Foton International kutoka China Bwana Zhao Xiano Kwa ajili ya kusaidia shughuli zamaendeleo nchini Tanzania, Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Meneja masoko wa kampuni ya Simba Motors Taanzania Bibi Ifigenia Salazar na kutoka kulia ni Afisa masoko wa Foton International , Bwana Fan Liang .makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam Agosti. 9. 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia moja ya magari aliyo kabidhiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Foton International kutoka China Bwana Zhao Xiano Kwa ajili ya kusaidia shughuli zamaendeleo nchini Tanzania. makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam Agosti. 9. 2017



EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.