Wednesday, August 2, 2017

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE WA UNICEF TANZAANIA NA UNDP TANZANIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana  na  Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bibi  Maniza  Zaman , wakati alipofika  Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni  Dar es salaam Agosti 02,2017  kwa mazungumzo ya kikazi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na  mwakilishi mkazi wa UNICEF Nchini  Tanzania  Bibi Maniza  Zaman Agosti 02,2017 kwa mazunguzo ya kikazi yaliyo fanyika ofisni kwa Waziri Mkuu Magogoni  Dar es salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwakilishi mkazi wa UNDP nchini Tanzinia Bwana Alvaro Rodriguez ,wakati  walipo mtembelea  Ofisini  kwake  Magogoni Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi  Katikati ni Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania  Maniza  Zaman.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.