Sunday, August 13, 2017

WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE LEO KATIKA MKOA WA TABORA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea na Viongozi pamoja na watumishi wa Mkoa wa Tabora leo August.13.2017 wakati wa majumuisho ya ziara yake Mkoa wa Tabora. Ambao umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana katika Uwanja wa Ndege wa Tabora leo August.13.2017 . na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Tabora .Agrey Mwandi .Baada ya kumaliza ziara ya siku Nne katika Mkoa wa Tabora ,katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora Queen Mwashinga.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwapungia Mkono wa kwaheri Viongozi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Tabora ambao walifika kumuaga katika Uwanja wa Ndege wa Tabora baada yakumaliza ziara ya siku Nne ya kikazi katika Mkoa wa Tabora  leo August 13,2017.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.