Tuesday, August 1, 2017

ZIARA YA MAJALIWA CHUNYA

 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya  SUNSHINE GROUP, Betty Mkwasa wakati alipotembelea  mtambo wa kusafisha dhahabu wa Sunshine Mining Limited uliopo Chunya Agosti 1, 2017,
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka  Dennis Dillip ambaye ni Mjiolojia  kuhusu mtambo wa kusafisha dhahabu wa kampuni  ya Sunshine Mining Limited uliopo Chunya wakati alipoutembelea Agosti 1, 2017. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla wakipata Maelezo kutoka kwa  Afisa  Madini wa Mkoa wa Mbeya Mhandisi Said Mkwawa kuhusu taarifa za  Kampuni ya Sunshine Gold Mininga Limited  wakati alipotembelea mtambo wa kusafisha dhahabu wa kampuni hiyo wilayani Chunya  Agosti 1, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia wimbo maalum unaozungumzia utendaji wa serikali ya  Awamu ya Tano ulioimbwa  na Kwaya maarufu ya Kiwete  katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri  Mkuu kwenye uwanja wa Sabsaba mjini Chunya Julai 1, 2017, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sabasaba  mjiini Chunya Agosti 1, 2017.  Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mkuki  kutoka kwa Mbunge wa Lupa, Victor Mwambalaso ikiwa ni ishara ya kusimikwa kuwa Chifu wa makabila ya Wakimbu na Wasafa katika mkutano wa hadhara aliouhutubia  kwenye uwanja wa Sabasaba mjini Chunya Agosti 1, 2017.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.