Sunday, August 27, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIMUAGA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE CUBA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba  Bi. Ana Teressa Jana Agosti 27/2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Havana ,baada ya kumaliza ziara ya kikazi Nchini Cuba. Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.