Thursday, August 17, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri Mkuu Kassim  Majaliwa  akiwa na mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nnje wa CUBA Bibi Ana Teresa mara baada ya kuwasili jana  August 17/2017 katika Uwanja wa  Ndege wa kimataifa wa Havana   kwa ajili ya ziara ya kikazi Nchini Cuba.
Waziri Mkuu Kassim Majliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakipata makaribisho Nchini Cuba jana August 17/2017 kutoka kwa Naibu  Waziri wa Mambo ya Nnje wa CUBA Bibi Ana Teresa mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa  Ndege wa  kimataifa wa Havana   kwa  ziara ya kikazi Nchini Cuba.



EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.