Sunday, August 13, 2017

WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM)KIGOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mke wake Mary wamjulia hali  leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma  Mheshimiwa Josephine Ngezabuka .ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma. katikati mwenye miwani ni Naibu spika Dr Tulia Akson

Naibu Spika Dr Tulia Akson mwenye miwani  akiwa na Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako (c) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catherine Magige. wamjulia hali  leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma  Mheshimiwa Josephine Ngezabuka ,ambaye amelazwa  kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.