Friday, June 8, 2018

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA MAABARA YA KISASA YA MADINI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa 38 wa Mawaziri wa Madini  kutoka nchi wananchama wa Ukanda wa  Maziwa Makuu kwenye   Kituo cha Utafiti  na uendelezaji wa sekta ya Madini, Kundichi jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Meneja wa Maabara ya Kemia na Mazingira wa Kituo cha Utafiti na Uendelezaji wa Sekta  ya Madini, Bw.  Charles Butete baada ya kuzindua maabara hiyo , kunduchi jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018. Wapili kushoto ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi  kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa   Maziwa Makuu baada ya kufungua Mkutano 38 wa  Mawaziri wa Madini kutoka nchi hizo kwenye Kituo cha utafiti na uendelezaji wa sekta ya Madini, Kunduchi jijini Dar es salam, Juni 8, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua Mkutano wa 38 wa  Mawaziri wa Madini kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa  Maziwa Makuu kwenye Kituo cha utafiti na uendelezaji wa sekta ya Madini, Kunduchi jijini Dar es salam, Juni 8, 2018. 


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.