Friday, June 8, 2018

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHA MKOA WA ILALA, ENEO LA FIRE JIJINI DA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye wakati alipotembelea Kituo cha  Zimamoto za  na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala eneo la Fire jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipotembelea  Kituo cha jeshi hilo cha mkoa wa Ilala eneo la Fire jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018. Kushoto ni Kamishina Jenerali  wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua baadhi ya vifaa, magari na mitambo inayotumiwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji  wakati alipotembelea Kituo cha Zimamoto na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala, eneo la Fire jijini Dar es salaam. Juni 8, 2018. Kushoto  kwake ni Kamishina Jenerali wa Jeshi hilo, Thobias Andengenye.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.