Wednesday, June 6, 2018

BUNGENI LEO 06.06.208

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2018.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais,  TAMISEMI,Joseph  Kakunda , Bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif  kwenye viwanja vya Bunge  jijini Dodoma Juni 6, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe (kushoto ) na Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma  Juni 6, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 6, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma  Juni 6, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.