Thursday, November 14, 2019

WAZIRI KAIRUKI ASHIRIKI UZINDUZI WA MTANDAO WA 4G AIRTEL

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki akizungumza wakati wa uzinduzi wa mtandao wa 4G uliofanyika katika ukumbi wa Dodoma hotel Novemba 14, 2019 Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa mtandao wa 4G wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki (hayupo pichani).
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania Bw. George Mathen akitoa maelezo kuhusu kampuni hiyo wakati wa uzinduzi wa mtandao wa 4G uliofanyika hii leo Novemba, 14, 2019 Jijini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vijana Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile akizungumza mchango wa mitandao ya mawasilino katika kujiletea maendeleo wa uzindudi wa mtandao wa 4G kwa mtandao wa Airtel Tanzania uliofanyika Jijini Dodoma Novemba 14, 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania Bw. George Mathen (wa kwanza kushoto) wakitoa kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi ya mtandao wa 4G uliofanyika Novemba 14, 2019 na kushuhudiwa na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bw. Munaku Mulembwa (wa tatu kutoka kushoto) Mbunge wa Temeke Mhe. Abdallah Mtolea (wa kwanza kulia) pamoja na Mbunge Mhe. Mariam Ditopile (aliyesuka).
Mbunge wa Temeke Mhe. Abdallah Mtolea akizungumza kuhusu huduma zinazotolewa na mtandao wa Airtel nchini wakati wa uzindudi wa mtandao wa 4G kwa mtandao wa Airtel Tanzania uliofanyika Jijini Dodoma Novemba 14, 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania Bw. George Mathen (kulia kwake) na wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bw. Munaku Mulembwa na wa kwanza kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vijana Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile na kulia kwake Mbunge wa Temeke Mhe. Abdallah Mtolea kwa pamoja wakionesha mabango yanayoashiria uzinduzi wa mtandao wa 4G wa kampuni ya mawasilino ya Airtel Tanzania mara baada ya uzinduzi rasmi Novemba 14, 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki akizungumza wakati wa uzinduzi wa mtandao wa 4G uliofanyika katika ukumbi wa Dodoma hotel Novemba 14, 2019 Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania Bw. George Mathen wakati wa hafla ya uzinduzi wa mtandao wa 4G uliofanyiaka Ukumbi wa Mikutano wa Dodoma Hotel Novemba 14, 2019.
Baadhi ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa mtandao wa 4G wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki (hayupo pichani).


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.