Monday, November 18, 2019

MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA WAKANDARASI KANDA YA KUSINI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini lililofanyika kwenye ukumbi wa Tawi la Benki Kuu- Mtwara, Novemba 18, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili kwenye Uwanja  wa Ndege wa Mtwara ambako alifungua  Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini lililofanyika kwenye ukmbi wa Tawi la Benk Kuu - Mtwara, Novemba 18, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini lililofanyika kwenye ukumbi wa Tawi la Benki Kuu- Mtwara, Novemba 18, 2019.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la  Biashara na Wakandarasi  kwa Kanda ya Kusini wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipofungua Kongamano hilo kwenye  ukumbi wa Tawi la Benki Kuu- Mtwara, Novemba 18, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.