Monday, November 18, 2019

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI, NJEDENGWA JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi (TBA), Humphrey Killo (kulia), wakati alipoenda kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, Novemba 18, 2019, baada ya kutoridhishwa na maendeleo ya mradi huo. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu), wakati alipoenda kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, Novemba 18, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), uliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, ambao haujakamilika kwa wakati, Novemba 18, 2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mwakilishi wa Meneja Mradi, kutoka Chuo Kikuu Ardhi, Godwin Maro (kulia), wakati alipoenda kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, Novemba 18, 2019, baada ya kutoridhishwa na maendeleo ya mradi huo. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, Jaji Semistocles Kaijage.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.