Sunday, November 10, 2019

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA MKESHA WA SHERERE ZA MAULID YA MTUME MUHAMMAD

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika Kitaifa mkoani humo. Novemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika Kitaifa mkoani humo. Novemba 10, 2019.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu, waliyohudhuria, katika sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, Novemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, kwenye viwanja vya Furahisha. Waziri Mkuu, amemwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe hiyo. Novemba 10, 2019.


Kijana Abbasi Hamdani, akitunzwa fedha, wakati akisoma mlango wa Maulid kimahiri, katika sherehe za Maulid, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, kwenye viwanja vya Furahisha. Novemba 10, 2019.
Mwananchi mkazi wa Dar es Salaam, Mohammed Yusuf, akifurahia sherehe za Maulid, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, kwenye viwanja vya Furahisha. Novemba 10, 2019. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, kwenye viwanja vya Furahisha. Waziri Mkuu, amemwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe hiyo. Novemba 10, 2019.
Mhudumu wa Msikiti Bakwata Makao Makuu, Darwesh Dume (aliyesimama), akihamasisha wasoma maulid, kwenye sherehe za Maulid, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, kwenye viwanja vya Furahisha. Novemba 10, 2019.
Baadhi ya viongozi wa dini, wakiwa katika sherehe za Maulid, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, kwenye viwanja vya Furahisha, Novemba 10, 2019. Kutoka kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hauzat, Sheikh Mohammed Abdi na  Mkurugenzi wa Hauzat, Jaafar Aswad.
Baadhi ya viongozi wa dini, wakiwa katika sherehe za Maulid, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, kwenye viwanja vya Furahisha, Novemba 10, 2019. Kutoka kushoto ni Sheikh wa Mkoa Mara na Sheikh wa Mkoa wa Kagera, Haruna Kichwa Buta.
Waumini wa Kiislamu wakiwa katika sherehe za Maulid, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, kwenye viwanja vya Furahisha. Novemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia waumini wa dini ya Kiislamu, waliyohudhuria, katika sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, Novemba 10, 2019. 
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu, waliyohudhuria, katika sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad, zilizofanyika Kitaifa mkoani Mwanza, Novemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika Kitaifa mkoani humo. Novemba 10, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.