Friday, November 15, 2019

JAMII YAASWA KUWATUNZA WAZEE

Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, akisalimiana na Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Naima Malima, wakati akiwasili kwenye Kituo cha kulelea wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa kikundi hicho, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu , Mama Tunu Pinda kwenye Kituo cha kulelea wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Novemba 15, 2019. Kikundi hicho kimetoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, kwenye Kituo cha kulelea wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Novemba 15, 2019. Kikundi hicho kimetoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, wakiwa wanatembea, katika Kituo cha kulelea wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Novemba 15, 2019. Kikundi hicho kimetoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri wa Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, akizungumza katika Kituo cha kulelea wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, kabla ya kutoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee waliyopo kituoni hapo, Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Wazee wanaolelewa katika Kituo cha kulelea Wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, alipozungumza nao, Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wake wa Viongozi wa kikundi cha New Millenium Women Group, wakimsikiliza wakimsikiliza Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, katika Kituo cha kulelea Wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Mke wa Rais wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli, akizungumza na Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwakatika Kituo cha kulelea Wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, kabla ya kutoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee hao, Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, akizungumza na Wazee katika Kituo cha kulelea Wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, kabla ya kutoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee hao, Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mke wa Rais wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli, akitoa msaada kwa Mzee Mohammed Allykatika Kituo cha kulelea Wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, kabla ya kutoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee hao, Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, akimpatia msaada, Mama Magreth Abdallah, katika Kituo cha kulelea Wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, kabla ya kutoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee hao, Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mlezi wa Kikundi cha Wake wa Viongozi cha New Millenium Women Group, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, akimpawatia msaada wazee, katika Kituo cha kulelea Wazee cha Nunge, kilichopo katika kata ya Vijibweni, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, kabla ya kutoa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee hao, Novemba 15, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.