Wednesday, November 13, 2019

BUNGENI LEO 13.10.2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa,Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Arusha, Joyce Mukya, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama(chini kushoto) akijadili jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angellah Kairuki (juu kushoto) na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa(kulia),Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Mbunge wa Ndada, Sesil Mwambe (chini kushoto) na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Edalardus Kilangi, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiakisalimiana na Mbunge wa Sikonge, Joseph Kakunda, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 13, 2019. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Hamida Abdallah.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiakisalimiana na Mbunge wa Mbunge wa Manyoni Magharibi, Yahaya Masare,  kwenye Jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani kikwete.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.