Saturday, November 9, 2019

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA MAULID MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili, kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani hapo. Novemba 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani humo. Novemba 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani humo. Novemba 9, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.