Thursday, March 5, 2020

MAJALIWA AFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA UALIMU KOROGWE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitabu baada ya  kufungua  maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe, Machi 5, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikata utepe wakati alipofungua Maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe, Machi 5, 2020.  Wa tano kushoto ni Katibu Mkuu  Wizara ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Dkt.  Leonard Akwilapo.  Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, wa pili kushoto ni Mbunge wa Korogwe Mjini , Mary Chatanda, wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na wa sita kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Kissa Kasongwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika maktaba ya  Chuo cha Ualimu Korogwe baada ya kuifungua Machi 5, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Ualimu Korogwe baada ya kufungua maktaba ya chuo hicho, Machi 5, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.