Sunday, March 29, 2020

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA SOKOINE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi Joseph Sokoine (katikati) na Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kipuyo Lemburs wakati alipotoa pole kwa familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,  Hayati Edward Moringe Sokoine iliyoondokewa na Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam Machi 29, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na familia ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine wakati alipokwenda kutoa pole kwa familia hiyo imeondokewa  na Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam, Machi 29, 2020. Kutoka kushoto ni Balozi Joseph Sokoine ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais, Halima Jama, Mama Napono Sokoine , Christina Towo Sokoine na Kulia ni Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kivuyo Lemburs.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi Joseph Sokoine (katikati) na Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kipuyo Lemburs wakati alipotoa pole kwa familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,  Hayati Edward Moringe Sokoine ambayo imeondokewa na Lazaro Edward Sokoine, jijini Dar es salaam Machi 29, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.