Tuesday, March 10, 2020

MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA VIONGOZI WA DINI NA BUNGE YA KUPUNGUZA UNYANYAPAA KWA VVU

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa jijini Dodoma, Machi 10, 2020 kuzindua Kampeni ya Kitaifa  ya Viongozi wa Dini  na Bunge  katika  kuongeza jitihada za kupunguza unyanyapaa dhidi ya Ukimwi. Kushoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai, wa tatu kushoto  ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,Watano kushoto ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai na wa sita kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kampeni ya Kitaifa  ya Viongozi wa Dini  na Bunge  katika  kuongeza jitihada za kupunguza unyanyapaa dhidi ya Ukimwi kwenye ukumbi wa Msekwa jijini   Dodoma, Machi 10, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kampeni ya Kitaifa  ya Viongozi wa Dini  na Bunge  katika  kuongeza jitihada za kupunguza unyanyapaa dhidi ya Ukimwi kwenye ukumbi wa Msekwa jijini   Dodoma, Machi 10, 2020. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.