Sunday, March 29, 2020

MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA WAZIRI KIONGOZI MSTAAFU WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali  Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  katika mazishi ya Waziri Kiongozi  Mstaafu wa Zanzibar, Brigedia Jenerali Mstaafu, Ramadhani Haji Faki yaliyofanyika  Mkwajuni  Zanzibara Machi 29, 2020.

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa wamebeba jeneza la  Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Brigedia Jenerali Mstaafu, Ramadhani Haji Faki katika mazishi yaliyofanyika Mkwajuni , Zanzibar, Machi 29, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alihudhuria mazishi hayo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu, Brigedia Jenerali Mstaafu, Ramadhani Haji Faki yaliyofanyika  Mkwajuni  Zanzibar,  Machi 29, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.