Wednesday, March 4, 2020

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA BOKWA WILAYANI KILINDI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa Maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. Kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na kushoto ni Mbunge wa Kilindi, Omar Kigua.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijaza maji katika ndoo wakati alipozindua mradi wa Maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi  4, 2020. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na kulia ni mmoja wa wanufaika wa mradi huo, Mariam Mgaza Hassan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba ndoo ya maji, Mariam Mgaza Hassan wakati alipozindua mradi wa maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.