Sunday, March 1, 2020

MAJALIWA AWASILI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo  ameanza ziara ya kikazi ya Mkoa wa Tanga kwa kutekeleza maelekezo  ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (kulia) aliyoyatoa kwa Watanzania ya kutosalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana ikiwa ni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.  Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akisalimiana na Marubani na wahudumu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea Tanga , Machi 1, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo  ameanza ziara ya kikazi ya Mkoa wa Tanga kwa kutekeleza maelekezo  ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (kulia) aliyoyatoa kwa Watanzania ya kutosalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana ikiwa ni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu wakati alipoowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga,Machi 1, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo  ameanza ziara ya kikazi ya Mkoa wa Tanga kwa kutekeleza maelekezo  ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (kulia) aliyoyatoa kwa Watanzania ya kutosalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana ikiwa ni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu wakati alipoowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga,Machi 1, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.