Saturday, March 21, 2020

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA KWA NJIA YA VIDEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Afisa Mtendaji  Mkuu wa Kampuni  ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba kabla ya kuanza mkutano kwa njia  ya video na  Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Mikoa  akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Machi  21, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa , Makatibu Tawala wa Mikoa  na Waganga Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video akiwa ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Machi 21, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa , Makatibu Tawala wa Mikoa  na Waganga Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video akiwa ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Machi 21, 2020. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.