Friday, July 13, 2018

MAJALIWA AANZA ZIARA YA WILAYA YA KISHAPU

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  mtoto Witness Castory wa Shule ya Awali ya Lubaga wilayani Kishapu baada ya mtoto huyo na wenzake kuimba wimbo wa kumkaribisha Waziri Mkuu kwenye viwanja vya Jengo la Halmashauri ya wilaya ya Kishapu Julai 13, 2018. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Kishapu, Mhe. Suleiman Nchambi wakati alipowasili  kwenye viwanja vya Ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya Kishapu Julai 13, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. 


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.