Wednesday, July 11, 2018

MAJALIWA AKUTANA NA WATALAAMU WA UTAFITI WA MAZAO YA KILIMO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watafiti  wa Mazao ya Kilimo  kutoka Kituo cha Utafiti  cha Mikocheni jijini Dar es salaam, Wakala wa Mbegu za Kilimo  (ASA) na Taasisi ya Utafiti  wa Kilimo Tanzania, kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Julai 11, 2018.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga na Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo  Tanzania, Japhet Justine.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watafiti  wa Mazao ya Kilimo  kutoka Kituo cha Utafiti  cha Mikocheni jijini Dar es salaam, Wakala wa Mbegu za Kilimo  (ASA) na Taasisi ya Utafiti  wa Kilimo Tanzania, kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Julai 11, 2018.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga na Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo  Tanzania, Japhet Justine.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.