Thursday, January 17, 2019

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MJI WA SERIKALI ENEO LA IHUMWA DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Mji wa Serikali katika eneo la Ihumwa jijini Dodoma, Januari 17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Ujenzi wa Mji wa Serikali kwenye eneo la Ihumwa jijini Dodoma, Januari 17, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Ujenzi wa Mji wa Serikali kwenye eneo la Ihumwa jijini Dodoma, Januari 17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) wakati alipokagua ujenzi wa jengo la Ofisi za Wizara hiyo katika Mji wa Serikali unaojengwa eneo la Ihumwa jijini Dodoma, Januari 17, 2019. Wapili kulia ni  Waziri wa Elimu, Sayansi ya Tekinolojia, William Ole Nasha na kushoto ni Katibu  wa Kikosi Kazi cha Kitaifa cha Kuratibu Mpango  wa Serikali  wa Kuhamia Dodoma, Meshack Bandawe.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,  akizungumza na Saidi Kiwape (kushoto) ambaye ni fundi wa kusuka nondo wakati alipokagua ujenzi wa Jengo la Ofisi za Wizara ya Nishati kwenye eneo la Ihumwa unapojengwa  Mji wa Serikali jijini Dodoma, Januri 17, 2019. Wapili kulia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, watatu kulia ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujezi wa tangi la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni moja za maji  kwa ajili ya kuhudumia Mji wa Serikali unaojengwa katika eneo la Ihumwa jijini Dodoma, Januari 19, 2019.  Katikati ni Katibu wa Kikosi Kazi  cha kitaifa cha Kuratibu  Mpango wa Serikali wa Kuhamia Dodoma, Meshck Bandawe.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.