Monday, January 14, 2019

WAZIRI MHAGAMA AKERWA NA SEKTA BINAFSI YA ULINZI KUONGOZA KWA MIGOGORO MAHALA PA KAZI

Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama  akiongea, wakati wa kikao cha Baraza la  wafanyakazi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (hawapo pichani) kilichowakutanisha Wasuluhishi na  waamuzi wa migogoro ya kikazi nchi nzima, mjini Morogoro,  tarehe 14 Januari,  2019.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi, Shanes Nungu akiongea, wakati wa kikao cha Baraza la  wafanyakazi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kilichowakutanisha Wasuluhishi na  waamuzi wa migogoro ya kikazi nchi nzima, mjini Morogoro,  tarehe 14 Januari,  2019.

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la  wafanyakazi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi wakiwa katika kikao hicho kilichowakutanisha Wasuluhishi na  waamuzi wa migogoro ya kikazi nchi nzima, mjini Morogoro,  tarehe 14 Januari,  2019.

Mmoja wa  wajumbe wa Baraza la  wafanyakazi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi akichangia hoja  katika kikao hicho kilichowakutanisha Wasuluhishi na  waamuzi wa migogoro ya kikazi nchi nzima, mjini Morogoro,  tarehe 14 Januari,  2019

Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama  akiwa katikapicha ya pamoja na wajumbe wa  kikao cha Baraza la  wafanyakazi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kilichowakutanisha Wasuluhishi na  waamuzi wa migogoro ya kikazi nchi nzima, mjini Morogoro,  tarehe 14 Januari,  2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.