Tuesday, January 8, 2019

MHAGAMA ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA PSSSF SINGIDA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya watendaji wa Mfuko wa PSSSF alipotembelea kukagua utekelezaji wa maagizo ya maagizo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli aliyoyatoa Desemba 28, 2018 alipokutana na viongozi wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Ikulu Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Mkoa wa Singida mara baada ya kuwasili mkoani humo Januari 08, 2018.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisaini vitabu vya wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Singida alipotembelea kukagua utekelezaji wa maagizo ya Mhe.Rais kwa Mifuko ya NSSF na PSSSF.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi alieleza jambo wakati wa kikao cha kumpokea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama wakati wa ziara yake mkoani humo.
Baadhi ya watendaji wa Mkoa wa Singida na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya PSSSF wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama (hayupo pichani)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza mmoja wa wastaafu Mkoani Singida Bi. Magreth Mfaume wakati wa ziara yake mkoani humo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa ofisi za mkoa wa Singida.
EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.