Thursday, January 10, 2019

MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SHULE YA MSINGI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwalimu wake, Bibi Notburga Ivo Mbepera wakati walipokutana na kuzungumza mjini Songea hivi karibuni. Mwalimu huyo alimfundisha Waziri Mkuu katika Shule ya Msingi ya Mnacho wilayani Ruangwa 1973 - 1980.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.