Wednesday, January 16, 2019

KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU AKABIDHIWA OFISI

Katibu Mkuu mpya  Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uwekezaji), Bi. Dorothy Mwaluko akikabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Profesa, Faustin Kamuzora ambaye ameteuliwa hivi karibuni kuwa Katibu  Tawala  mkoani Kagera. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mwaluko  alikuwa Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, leo, tarehe 16 Januari, 2019.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bi. Maimuna Tarishi akishuhudia makabidhiano rasmi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Katibu Mkuu mpya (Sera na Uwekezaji), Bi. Dorothy Mwaluko kutoka kwa  aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Profesa, Faustin Kamuzora ambaye ameteuliwa hivi karibuni kuwa Katibu  Tawala  mkoani Kagera. Katibu Mkuu Mwaluko kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais, Menejineti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, leo, tarehe 16 Januari, 2019
Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa, Faustin Kamuzora akishukuru kwa ushirikiano aliokuwa anapewa wakati  akihudumu katika ofisi hiyo, kwa Katibu Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bi. Maimuna Tarishi (katikati) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko (kushoto ), Ofisi ya na, leo, tarehe 16 Januari, 2019.
Aliyekuwa Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa, Faustin Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na waliokuwa  Makatibu Muhtasi wake,  pamoja na Katibu Mkuu mpya  Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko (kulia), mara baada ya Profesa Kamuzora kumkabidhi ofisi rasmi,  leo, tarehe 16 Januari, 2019.
Katibu Mkuu mpya Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uwekezaji), Bi. Dorothy Mwaluko ambaye ameteuliwa hivi karibuni. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mwaluko  alikuwa Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais, Menejineti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, leo, tarehe 16 Januari, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.