Monday, February 19, 2018

MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI

 Wazri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mtoto Januari  wa Shule ya Msingi ya Mitindo wilayani Misungwi ambayo pia inawalea na kuwasomesha watoto wenye ulemavu wa ngozi , Februari 19, 2018. Mtoto huyo siku zote amesisitiza kwamba baada ya kumaliza masomo yake akiwa mtu mzima angependa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania .

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madawati katika madarasa ya shule ya msingi ya Mitindo wilayani Misungwi baada ya kufungua bweni la wavulana shuleni hapo Februari 19, 2018. Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule hyo, S. Mafie.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.