Saturday, February 17, 2018

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA KIWANDA CHA MIFUKO NA STEEL WIRE MAGU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa  kiwanda cha Lakairo Industries, Daniel Lameck wakati alipotembelea na kukagua  uzalishashaji wa mifuko  na steel wire kiwandani hapo,  eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha Lakairo Industries kwenye eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018.  Wapili kulia ni Mwenyekiti  wa makampuni ya Lakairo na Mbunge wa Rorya, Mhe. Lameck Airo, wanne kulia  ni Mkurugenzi Mtendaji, Daniel Lameck. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Miongella .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha  Lakairo Industries, Daniel Lameck wakati alipotembelea na kukagua   uzalishaji wa mifuko  na steel wire  katika kiwanda hicho, eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Magu,  Khadija Nyembo.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Lakairo Industries, Daniel Lameck  wakati alipotembelea na  kukagua uzalishaji wa mifuko  na steel wire  kwenye kiwanda  hicho, eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Lakairo Industries, Daniel Lameck  wakati alipotembelea na  kukagua uzalishaji wa mifuko  na steel wire  kwenye kiwanda  hicho, eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga kakofi baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha  Lakairo Industries kwenye eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018.  Wapili kulia ni Mwenyekiti  wa makampuni ya Lakairo na Mbunge wa Rorya, Mhe. Lameck Airo, wanne kuila ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho , Daniel Lameck. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Miongella .


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.