Thursday, February 8, 2018

WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Kagera, Bernadeta Kasabago kwenye jingo la utawala Bungeni, mjini Dodoma, Februari 8, 2018. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, katikati ni mbunge wa Bunge la Muungano (CCM) Ayoub Hashim Jaku, Februari 8, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na  Mtangazaji Mwandamizi wa TBC, Shaaban Kisu, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 8, 2018.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.