Tuesday, February 13, 2018

WAZIRI MKUU AKABIDHI GARI KWA MAMLAKA YA KUPAMBAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa( Aliye vaa miwani)leo (Jumanne, Februari 13, 2018) amekabidhi gari kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw. Rogers Siyanga kwa ajili ya Mamlaka hiyo. Makabidhiao hayo yamefanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.