Wednesday, April 4, 2018

MAJALIWA AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye eneo la kuwasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Baadhi ya wakuu wa Taasisi zilizoko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa wakati alipowasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua hotuba   kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba  baada ya kuwasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma baada ya hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa akipongezwa na Makatibu Wakuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Profesa Faustin Kamuzora -Sera na Uratibu(wapiti kulia), Eric Shitindi - Kazi, Akira na Wenye Ulemavu (kulia) na Maimuna Tarishi- Waziri Mkuu na Bunge (wapili kushoto) baada ya kuwasilisha   hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018. Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Kazi Uchumi na Jamii(LESCO), Det. Samwel Nyantahe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika (Katikati)  na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango kwenye  viwanja  bunge baada ya kuwasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Afisa Mtetezi CCBRT Bw. Fredrick Msigala kwenye viwanja vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge wa Viti Maalum, Faida Mohammed Bakari  (katikati), Azza Hilal Hamad (kulia) na Aisharose Matembe kwenye viwanja vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.