Thursday, August 8, 2019

MAJALIWA AKAGUA UNUNUZI WA PAMBA WILAYANI ITILIMA NA MASWA NAKUZINDUA MIFUMO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha nakala ya  Mfumo Rasmi wa Mauzo ya Mazao ya  Kilimo kupitia Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) baada ya kuzindua mfumo huo wakati alipohitimisha Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane yaliyofanyika kwenye uwanja wa  Nyakabindi mkoani Simiyu, Agosti 8, 2019.  Wengine pichani kutoka kushoto ni  Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, Waziri  wa Kilimo, Japhet Hasunga na kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikata utepe kuzindua Mfumo wa Kielektroniki  wa Kusimamia Biashara (Agricultural Trade Management Information System (ATMIS) wakati alipohitimisha Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane yaliyofanyika kwenye uwanja wa  Nyakabindi mkoani Simiyu, Agosti 8, 2019.  Wengine pichani kutoka kushoto ni  Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, Waziri  wa Kilimo, Japhet Hasunga na kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mwananchi  baada ya kukagua ununuzu wa pampa katika Chama cha Ushirika cha Msingi cha Maendeleo Luguru na Itubilo wilayani Itilima, Agosti 8, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mwananchi  baada ya kukagua ununuzu wa pampa katika Chama cha Ushirika cha Msingi cha Maendeleo Luguru na Itubilo wilayani Itilima, Agosti 8, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati Mkurugenzi wa Kampuni ya Nsagali, Emmanuel  Gangu Silanga (kushoto) alipomkabidhi fedha Katibu Mkuu wa Chama cha Ushirka cha Msingi  cha Maendeleo  Luguru na Itubilo, Bibi Buzo Hussein kwa ajili ya kuwalipa  walikuma watakaouza pamba kwenye chama hicho.  Kampuni hiyo imeahidi kununua pamba yote mkoani Simiyu na imemhakikishia Waziri Mkuu kuwa inazo pesa za kutosha. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika ziara ya kukagua ununuzi wa pamba, Agosti 8, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba  wakati alipotembelea ghala la Chama cha  Ushirika cha Msingi cha Kumalija cha wilayani Maswa Agosti  8, 2019. Waziri Mkuu alikuwa katika ziara ya kukagua ununuzi wa pamba katika mkoa wa Simiyu.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.