Saturday, August 10, 2019

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TAHLISO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipowasili katika Ukumbi wa Nkrumah  uliopo Chuo Kikuu cha Dar es salaam  kufungua  Mkutano Mkuu wa Mwaka  wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Agosti 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiongozana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa, Joyce Ndalichako (kulia) na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salam, Utawala, Profesa David Mfinanga  (kushoto) wakati alipoingia katika Ukumbi wa Nkrumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es salaam  kufungua  Mkutano Mkuu wa Mwaka  wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Agosti 10, 2019. Wa  pili kulia ni Mwenyekiti wa TAHLISO, Peter Niboye.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hati ya kiwanja ambacho kitajengwa Ofisi ya  Jumuiya ya  Wanafunzi wa Taasisi  za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) kilichopo eneo la Mtumba jijini Dodoma kilichotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi (kushoto) Agosti 10, 2019 wakati Waziri Mkuu alipofungua  Mkutano  Mkuu wa Mwaka wa TAHLISO katika Ukumbi wa Nkuruma uliopo Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa TAHLISO, Peter Niboye. 
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo katika Ukumbi wa Nkrumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Agosti 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia wakati alipofungua  Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO)  katika Ukumbi wa Nkrumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Agosti 10, 2019.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.