Tuesday, August 6, 2019

UVINZA WAPIMWA UTAYARI WA KUKABILI UGONJWA WA EBOLA

Mkazi wa kijiji cha Ilagala, Wilayani Uvinza, Deborah Yotham, akisoma kipeperushi chenye kueleza kuhusu ugonjwa wa Ebola, wakati wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa huo lililoendelea kufanyika mkoani Kigoma  leo tarehe 6 Agosti, 2019.
Daktari wa Kituo cha Afya Ilagala Wilayani Uvinza, Reuben Mwakilima, akitoa taarifa kwa njia ya simu kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, juu ya mgonjwa aliyehisiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola kufika kituoni hapo wakati wa kuigiza zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa huo lililoendelea kufanyika mkoani Kigoma  leo tarehe 6 Agosti, 2019.
Mmoja wa Watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala Wilayani Uvinza, , akijiandaa kumbemba mgonjwa aliyehisiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola kufika kituoni hapo wakati wa kuigiza zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa huo lililofanyika  katika kituo hicho leo tarehe 6 Agosti, 2019.
Mmoja wa Watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala Wilayani Uvinza, , akimuhudumia mgonjwa aliyehisiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola kufika kituoni hapo wakati wa kuigiza zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa huo lililofanyika  katika kituo hicho leo tarehe 6 Agosti, 2019.
Mwezeshaji wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa  wa Ebola mkoani Kigoma, kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faraja Msemwa akifafanua umuhimu wa vifaa Kinga, kwa watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala wakati wa kuigiza zoezi la hilo  lililofanyika  katika kituo hicho leo tarehe 6 Agosti, 2019.
Mwezeshaji wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa  wa Ebola mkoani Kigoma, kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ambele Eliah akifafanua namna ya uchukuaji wa sampuli, kwa watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala, wilayani Uvinza, wakati wa zoezi hilo  lililofanyika  katika kituo hicho leo tarehe 6 Agosti, 2019.
Mwezeshaji wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa  wa Ebola mkoani Kigoma, kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Vida Mmbaga akifafanua umuhimu wa zoezi hilo, kwa watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala, wilayani Uvinza, wakati wa zoezi hilo  lililofanyika  katika kituo hicho leo tarehe 6 Agosti, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.