Monday, August 5, 2019

WATOA HUDUMA ZA AFYA MIPAKANI WATUMIA ZOEZI LA KUKABILI UGONJWA WA EBOLA KUIMARISHA UTAYARI

Watoa huduma za  Afya kwenye mpaka wa  Kabanga, mpaka wa Tanzania na Burundi wakiwa wamevaa vifaa kinga kwa ajili ya kumuhudumia abiria aliyehisiwa kuwa na maambukizi ya  ugonjwa wa Ebola wakati wa zoezi la kupima utayari wa watoa huduma hao hao wa mipakani katika kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya mkoa wa Kagera, Agosti 2019.  
Watoa huduma za  Afya kwenye mpaka wa  Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda wakiwa wamevaa vifaa kinga kwa ajili ya kumuhudumia abiria aliyehisiwa kuwa na maambukizi ya  ugonjwa wa Ebola wakati wa zoezi la kupima utayari wa watoa huduma hao wa mipakani katika kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya mkoa wa Kagera, Agosti 2019.  
Watoa huduma za  kwenye mpaka wa  Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda wakiingia kwenye gari kwa ajili ya kumuhudumia abiria aliyehisiwa kuwa na maambukizi ya  ugonjwa wa Ebola wakati wa zoezi la kupima utayari wa watumishi hao wa mipakani katika kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya mkoa wa Kagera, Agosti 2019
Mtoa huduma za Afya kwenye mpaka wa  Kabanga, mpaka wa Tanzania na Burundi akimhoji mmoja wa abiria aliyekuwa amepanda na mgonjwa  aliyehisiwa kuwa na maambukizi ya  ugonjwa wa Ebola wakati wa zoezi la kupima utayari wa watoa huduma hao wa mipakani katika kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya mkoa wa Kagera, Agosti 2019.  
Mtoa huduma za Afya kwenye mpaka wa  Rusumo mpaka wa Tanzania na Rwanda akiwapima abiria wanaopita katika mpaka huo Joto la mwili kwa kutumia Kipima joto "Thermal scanner", wakati wa zoezi la kupima utayari wa watumishi hao wa mipakani katika kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya mkoa wa Kagera, Agosti 2019.  
Mratibu wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Consolata Masawe akimfafanulia mmoja wa watumishi wa Afya wakati wa  utekelezaji wa zoezi hilo kwa watoa huduma wa Afya katika mpaka wa Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda, mkoani Kagera Agosti 2019.  
Watoa huduma za  kwenye mpaka wa  Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda wakimuhudumia  abiria aliyehisiwa kuwa na maambukizi ya  ugonjwa wa Ebola wakati wa zoezi la kupima utayari wa watoa huduma hao wa mipakani katika kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya mkoa wa Kagera, Agosti 2019.  
Waratibu wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, wakiendelea kufuatilia  namna watoa huduma  wa Afya wanavyo muhudumia mgonjwa aliyehisiwa kuwa ana ugonjwa wa Ebola wakati wa zoezi hilo, mkoani Kagera Agosti 2019.  
Mratibu wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, Consolata Masawe, akiendelea kuelekeza namna ya  kuvaa vifaa kinga kwa mtumishi wa Afya katika mpaka wa Rusumo,mpaka wa Tanzania na Rwanda, mkoani Kagera Agosti 2019.  
Waratibu wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, wakiendelea kuelekeza namna ya  kuvaa vifaa kinga kwa mtumishi wa Afya katika mpaka wa Rusumo,mpaka wa Tanzania na Rwanda, mkoani Kagera Agosti 2019.  


Mratibu wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, Kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Refeya Ndyamuba akiemdelea kuelekeza namna ya  kuvaa vifaa kinga kwa mtumishi wa Afya katika mpaka wa Rusumo,mpaka wa Tanzania na Rwanda, mkoani Kagera Agosti 2019.  


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.