Wednesday, August 28, 2019

MAJALIWA AMWAKILISHA MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA TICAD 7

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waku wa Nchi za Afrika na Japan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Tokyo International Conference on Africa Development (TCAD 7) uliofanyika kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifico Yokohama nchini Japan, Agosti 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais waTogo,  Faure Gnassingbe (kulia)  wakipiga makofi katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Tokyo International Conference on Africa Development (TCAD7) uliofunguliwa na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifico  Yokohama nchini Japan, Agosti 28, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi  Wakuu wa Nchi za Afrika wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa  Saba wa  Tokyo International Conference on Africa Development (TCAD7) uliofunguliwa na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifico  Yokohama nchini Japan, Agosti 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi (kushoto) wakisikiliza hotuba ya  ufunguzi wa  Mkutano wa  Saba wa Tokyo International Conference on Africa Development (TCAD7) uliofunguliwa na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifico  Yokohama nchini Japan, Agosti 28, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.