Tuesday, August 6, 2019

MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA SADC JIJINI DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa George Lous Chuwa kuhusu bidhaa mbalimbali wakati alipotembelea banda la Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC) katika Maonyesho ya Maadhimisho  ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa Nchi za SADC kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wapili kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Maofisa Habari wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) , Jamila Mbarouk (kulia) na Ben Mwanantala wakati alipotembelea banda la TRC katika Maonyesho ya Maadhimisho  ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocenti Bashungwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Maofisa Habari wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) , Jamila Mbarouk (kulia) na Ben Mwanantala wakati alipotembelea banda la TRC katika Maonyesho ya Maadhimisho  ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocenti Bashungwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Wickled Msian ambaye ni Meneja wa Kudhibiti Ubora wa Bidhaa wa Kampuni ya Ital shoe (wa pili kulia)  wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo katika Maonyesho ya Maadhimisho  ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wa pili kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocenti Bashungwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa  Dkt William Mugisha wakati alipotembelea banda la Taasisi ya Mifupa (MOI) katika Maonyesho ya Maadhimisho ya  Nne ya Wiki ya Viwanda kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dr es salaam, Agosti 6, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocenti Bashungwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha yake iliyochorwa kwa kutumia shanga na Bw. Aman Greon (kulia) wakati alipotembelea  Maonyesho ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika  Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wa pili kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari  baada ya kutembelea  Maonyesho ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wa pili kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocenti Bashungwa.  Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,  Abdallah Ulega.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.