Sunday, August 11, 2019

MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MOTO WA LORI LA MAFUTA LILILOANGUKA MOROGORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiweka udongo kwenye kaburi la mmoja wa watu waliofariki katika ajali y amoto wa  lori la mafuta lililoanguka katikati eneo la Msamvu mjini Morogoro, katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kola Hill mjini Morogoro, Agosti 11, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye moja ya makaburi  ya watu waliofariki dunia katikati ajali ya moto wa lori la mafuta lililoanguka kwenye eneo la Msamvu mjini Morogoro katika  mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kola Hill  mjini Morogoro, Agosti 11, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.